Acts 2:4

4 aWote wakajazwa na Roho Mtakatifu, wakaanza kunena kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia.

Copyright information for SwhKC